Bluu tusi na wayalesi zinaleta shida!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Dad! Daaad!
Nimeenda kwa daktari nikaambiwa bluu tusi ina shida natakiwa shs 20000/= irekebishwe
halafu daaaaaad nimepoteza fesibuku ya shule nadaiwa huku!
Aaafu nilisahau wayalesi yangu ikanyeshewa nahitaji kununua nyingine nk! Nk!

Zamani tulikuwa tunapoteza physics, test tube!
Wewe ulipoteza nini?
 
Bange mbaya sana wajameni. Haswa ukilivuta peke yako chooni kwa uchoyo. :nimekataa
 
Back
Top Bottom