1. sio kila laptop inakuwa na built in buetooth, angalia specifications za machine yako maana hiyo ni option tu, zinaweza kuwa model moja lakini nyingine ikawa na bluetooth na nyingine haina. hii ni sawa na laptop zipo ambazo zina built in modem na nyingine hazina.
2. kama iyo chip ipo built in unaweza kutumia link umepewa hapo juu kudownload drivers yake kulingana na operating iliyo installed kwa pc yako
3. kama option moja na mbili hazijawezekana basi nunua usb dongle zinauzwa elfu kumi tu madukani
View attachment 1656968