ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Okay kwaio nikienda kwa fundi PC mambo safii au sioPC YAKO HAINA ADAPTER/DRIVER ZA KUSUPPORT BLUETOOTH...TAFUTA FUNDI AKUREKEBISHIE
Okay kwaio nikienda kwa fundi PC mambo safii au sio
Ni laptop na sijawahii kutumia Bluetooth apani desktop au laptop. na ulishawahi kutumja bluetooth hapo?
Ni laptop na sijawahii kutumia Bluetooth apa
yap yap..fundi makiniOkay kwaio nikienda kwa fundi PC mambo safii au sio
PC yangu ni HP probook 430tuambie model ya computer mfano HP PROBOOK 6540.
Pia angalia kama kwenye keyboard au kwa ubavuni kama kuna button yenye alama ya bluetooth
PC yangu ni HP probook 430