naomba msaada kwa anayejua, nna samsung galaxy kwa sasa haiwezi ku turn on bluetooth wala wi-fi inanipa error nikiwasha, zamani ilikua inafanya nikajaribu kila aina ya setting nimeshindwa hadi factory reset bado tatizo lipo kuna yoyote anaweza nipa way out!!!!