Hizo ni Myth my dear hakuna kitu kama hicho, na kuna wengine walisema O ni Carrier wa hivyo virus yaan wao wanaambukiza lakini hawapati dalili wala magonjwa, sio kweli....
Halafu nyie wa group O mnasumbuliwa sana na maradhi ya Ngozi na Ulcers mna Acid nyingi na hamshauriwi kutumia vyakula vyenye uchachu.