Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
mkuu nimefungua lakini nayo ina load tu kama dakika 20 hivi!! sijui tatizo ni connection yangu?
wewe unachungulia blog za ngono, eeh?
yeah connection yako itakuwa na matatizo,kwani una2mia simu au pc?
hata mimi nimeshindwa kufungua blog yangu so nahisi ni tatizo la server ya hao wanaoendesha blog zetu,,, na si ya ngono kama wadau wengine wanavyosema
hata mimi nimeshindwa kufungua blog yangu so nahisi ni tatizo la server ya hao wanaoendesha blog zetu,,, na si ya ngono kama wadau wengine wanavyosema
natumia pc mkuu!!
dah!! mi nilishaanza kuogopa nikajua ime corrupt,tuombe mungu warudishe haraka
ngono ndio nini??
jaribu ku gogle alafu itakupa jibu
labda za kwenu,hebu dondosheni hizo link za blog zenu nizifungue hapa,
jaribuni hii inafunguka fasta
GSHAYO
hapo kwenye red nayo siijui!! nisaidie hapo tafadhari
g shayo yako imefunguka mkuu!!! hebu icheck then nipe jibu kama kwako inafunguka
WAJANJA SITE
inafunguka mkuu,
nimejaribu saizi nafunguka pia,nahisi kulikuwa na tatizo kidogo asante mkuu