Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 6,925
- 7,935
Habari Wananzengo, Sio siri hii ndiyo keyword inayolipa zaidi duniani kuanzia mwezi huu july. Aisee kama blog yako ikigusia contents za wanasheria wa marekani au hizo keeywords kwenye picha basi ujue posts zako hazitakosa dola 100 kwa click moja tu!! unaambiwa advertisers wanashindana kuweka midola tu kwenye keyword hiyo kama unavyojua kule marekani wanasheria wanalipwa vyema sana kuliko wanasheria wa kiafrica. Binafsi nimeshaanza utafiti kwanza then nianze kuandika articles za kuhusu hizo keywords so nategemea kupata results nzuri zaidi mwishoni mwa mwezi huu. Kitu kizuri share na wenzio mfaidike wote.
Happy Blogging!
Happy Blogging!