BLOGGERS ONLY: Hii ndiyo Keyword inayolipa zaidi kuliko zote. JULY 1 2019

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,919
7,931
Habari Wananzengo, Sio siri hii ndiyo keyword inayolipa zaidi duniani kuanzia mwezi huu july. Aisee kama blog yako ikigusia contents za wanasheria wa marekani au hizo keeywords kwenye picha basi ujue posts zako hazitakosa dola 100 kwa click moja tu!! unaambiwa advertisers wanashindana kuweka midola tu kwenye keyword hiyo kama unavyojua kule marekani wanasheria wanalipwa vyema sana kuliko wanasheria wa kiafrica. Binafsi nimeshaanza utafiti kwanza then nianze kuandika articles za kuhusu hizo keywords so nategemea kupata results nzuri zaidi mwishoni mwa mwezi huu. Kitu kizuri share na wenzio mfaidike wote.

Happy Blogging!

1143740
2.JPG
2.JPG
 
Nashukuru sana kwa somo je kwa wale tunaotumia blogspot tunaweza kuirank blog zetu google maana competition ya hizi keyword its very high

ndiyo mkuu unaweza kuRank blog yako kwa kutengeneza backlinks. Post links za blog yako kwenye websites za watu wengine, tumia Quora, Pinterest, Wikipedia na youtube kupata backlinks. Mfano Kwenye Quora unajibu maswali yaliyoulizwa, kama yana majibu kwenye blog yako basi unaweka link. kwenye pinterest share picha za posts za blog yako, Kwenye wikipedia, ikitokea umeanddika post kuhusu kitu fulani wenye blog yako na ukakutana na article ya wikipedia inazungumzia hiko kitu basi ongeza link ya post yako kwa kufanya citation.
 
We jamaa fundi... Nashukuru kuliona hili andiko leo hii

Lakini backlink kuna dofollow na nofollow, tovuti ulizotaja zina nofollow ambazo hazina manufaa kwenye ranking.

Ww unafanyaje?
 
ni kwei baadhi ya sites zina nofollow ila nimeshawahi kuRank baadhi ya blogposts zangu kupitia quora, pinterest na wikipedia hadi leo posts zinafanya vizuri google na bing. Hasa pinterest wana subdomain nyingi za mataifa mengi, ukiPIN picha ya blogpost yako pamoja na link yake kama ni niche inayotrend kwenye pinterest basi tegemea kupata nyomi la kutosha. Pia siku hizi hatutegemei sana dofollow, tunachoangalia ni umepata vichwa vipya vingapi kutoka kwenye hiyo website waliotembelea website yako kupitia link uliyoiweka? sababu visitors ndo mtaji, kwenye watembeleaji 10 tegemea watatu watakuwa ni loyal kama una contents nzuri watarudi kila unapoPublish Mpya. Kitu cha mwisho na cha muhimu kuliko vyote ni good SEO baaas! kama umefanya yote hayo na site yako haujaitengenezea structured data kali ya kibabe inayoendana google basi ni kazi bure.
 
Bro inabid utupe elimu kidogo sisi ma bigginers
 
Mkuu habari yako asee mm ni mwanafunzi wa chuo nipo likizo sasa iv nimejifunza kutengeneza blog kwa kutumia blogger na nipo poa nishatengeneza moja tayar kwa 80% nipo mbioni kujifunza kwa kutumia WordPress pia

Maswali yangu kama hutojali ipi inafaaa kati ya izo mbili blogger au WordPress na je naweza tengeneza pesa bila kununua domain au kuwa hosted?

Je naweza pate ad au kuwa linked na google Adsense kama natumia domain ya blogspot. Com na inatumia mda gan??
 
Majibu yote ni NDIYO.
Muda wa kupata adsense ni ndani ya wiki moja.
 
Back
Top Bottom