Mambo vp wadau, Naezaje fix tatizo la baadhi ya templates kwenye blogger kutoonyesha ads mfano za seebait kwenye mobile view , ads inaonekana kwenye desktop view tu.
Msaada wenu tafadhali wataalam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.