Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,231
- 26,750
Ila Jestina kipondo kilikua heavy kaumukaje usoni... nyie kina Diva hawajataka masikhara..mwendo wa miwani tu...
Ila kina Kajala na kina Mecky ndio muache kumsema mwenzenu.maana ka Mecky full kujichekesha kwenye birthday kumbe wale wale kasoro majina