K kambalemzee94 Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6 Reaction score 1 Jan 21, 2018 #1 Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu
Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu
Tzhacker 000 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 659 Reaction score 690 Jan 21, 2018 #2 kambalemzee94 said: Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu Click to expand... pitia www.smatskills.com
kambalemzee94 said: Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu Click to expand... pitia www.smatskills.com
Tzhacker 000 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 659 Reaction score 690 Jan 21, 2018 #3 kambalemzee94 said: Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu Click to expand... kwanza Hilo swali ndo ulitakiwa ujiulize wew kwanza Maana sisi Hatuna cha kusema maana maamuzi ya kufungua blog ni yako nasio yetu
kambalemzee94 said: Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu Click to expand... kwanza Hilo swali ndo ulitakiwa ujiulize wew kwanza Maana sisi Hatuna cha kusema maana maamuzi ya kufungua blog ni yako nasio yetu
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Jan 21, 2018 #4 Sasa hata idea huna??