Yes. Maji ya moto na asali na ndimu.Jina La Id linajieleza π π π Mimi mtu nisie na mawaa sikasiriki hovyo najua nazidi kujifunza
Lakini umekunywa chai ???
Post 10 kwa 10k tena kwa kingereza tena zisiwe copy and paste tena utumie ufikilio mkubwa tena ziwe za Technologia ok anyway.Nina blogu ambayo ninahitaji kuibadili kuwa ya Kiingereza natafuta mtu atakaye niandikia post 10 zenye urefu angalau maneno 1250 nitamlipa kiasi nilichokitaja hapo juu njoo PM
Post zisiwe za copy and paste nitazichunguza sana pia zihusu tech Ahsante kwa wewe utakayeona inakufaa karibu PM
Blogu yangu kwa sasa ipo kwa Kiswahili ila nipo kwenye mpango wa kuanza kubadilisha lugha karibu
Babu acha kuogopa English wewe.Naomba ufafanuzi
Yes. Maji ya moto na asali na ndimu.
Napenda sana kuanza siku yangu hivyo.
Wewe umekunywa?
Mida ndo hii.Bado bado
Ujue watu hawaelewi sio kwamba nashindwa kuandika ila sipati idea na pia mimi siwezi kukielezea kitu hapo tu.Babu acha kuogopa English wewe.
Anaeniletea chai hua anakuja saa4Mida ndo hii.
Acha weeee.Anaeniletea chai hua anakuja saa4
πππππ totoz wapi Ukame tuAcha weeee.
Totoz flani hivi, uongo?
Daadeqi