Blog Content Writer 10k cash

Tulikua hatuwapendi waliimu unafikiri tutafauluje anyway kiingereza najua ila sio kama mzungu mistake zipo tu kifupi ni kusaidiana 🤓🤓🤓
Sure.

Any help you need just let us know.

Ila isiwe ndefu sana we can always correct you.

Nimependa your sense of humor hujamaind ovyo ovyo.

Iweke hapa hapa kazi yako, omba kuwa corrected and hopefully wadau watakuwa hawajaanza kunywa wanzuki kazi yako itaenda fresh sana.

Cheers.
 
Maneno 1250 X 10 = 12500 words kwa elfu 10?

Hebu acha dharau wewe, kazi ya translation inalipwa kivyake na kazi ya typing kivyake. Maneno 400 watu wanachaji 5-10 dollars. We unataka ulipe mtu tsh.10,000 utangoja sana
 
Hapo pa kutype sasa ukitype huku upo JF utamaliza kwa mbinde sanaaaa.
 
Na pia itategemea ni siku gani ya wiki. Labda uwahi Ijumaa asubuhi kama hivi aisee baadae mchana mchana watu wameshashiba biriani hakuna rangi za kubeua utaacha kuona.
Hahahah watu wanajibidua zao maviwanja tu
 
Mkuu English sio mchezo.

Yaani English inaongezaga metabolism, inazidisha mapigo ya moyo, uono unafifia aisee usifanye mchezo kabisa.

Hebu ongeza ka hela hata kwa 1200 hailipi hiyo.

Unapunguza life expectancy ujue?
Kivipi inapunguza life expectancy?
 
Jina La Id linajieleza 😅😅😅Mimi mtu nisie na mawaa sikasiriki hovyo najua nazidi kujifunza

Lakini umekunywa chai ???
 
Maneno 1250 X 10 = 12500 words kwa elfu 10?

Hebu acha dharau wewe, kazi ya translation inalipwa kivyake na kazi ya typing kivyake. Maneno 400 watu wanachaji 5-10 dollars. We unataka ulipe mtu tsh.10,000 utangoja sana
Mkuu, maneno 400 mengi sana.
Hapo 2018 nilikuwa nafanya translation fiverr, maneno 100 kwa dollar za marekani 5, na gigs zilikuwa zinapatikana bila longo longo.

Mkuu hapo anataka aandaliwe post, yaani research, editing, proofreading etc, ya maneno 12500 kwa shilingi za kitanzania 10,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…