Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,427
- 9,298
Unataka hela au hautaki..?Ka buku kumi Mkuu?
Unacheza na uandishi, tuone tu tukiandika sredi za kiboya.
kuandika kunataka moyo mkuu binadamu mtakatifu
hahahahahahhahaha najua mkuuKa buku kumi Mkuu?
Unacheza na uandishi, tuone tu tukiandika sredi za kiboya.
kuandika kunataka moyo mkuu binadamu mtakatifu
Maneno 6000 Tu unapumulia machine plus sio kitu unakijua lazima kusearch details huku na kule aiseeh!Nina blogu ambayo ninahitaji kuibadili kuwa ya Kiingereza natafuta mtu atakaye niandikia post 10 zenye urefu angalau maneno 12500 nitamlipa kiasi nilichokitaja hapo juu njoo PM
Post zisiwe za copy and paste nitazichunguza sana pia zihusu tech Ahsante kwa wewe utakayeona inakufaa karibu PM
Blogu yangu kwa sasa ipo kwa Kiswahili ila nipo kwenye mpango wa kuanza kubadilisha lugha karibu
Kwa hiyo Tsh 10,000 akipata sana Ni maneno 1,000.Maneno 6000 Tu unapumulia machine plus sio kitu unakijua lazima kusearch details huku na kule aiseeh!
Anyways anayeweza akomae fursa hiyo.
Ka buku kumi Mkuu?
Unacheza na uandishi, tuone tu tukiandika sredi za kiboya.
kuandika kunataka moyo mkuu binadamu mtakatifu
Mkuu maneno 12500 ni maneno standard ya research ya masters.Sijua kama unataka blog article ya maneno 12500 na unataka nani asome maneno 12500.Blog post haipaswi kuzidi maneno 1500 unless iwe very necesary.Pili Kama unataka kuandikiwa POST za kizungu kwa Bei hio uliyotaja nafikiri bado hujaweka strategy yako vizuri.Fanya kunitafuta PM naweza nikakupa hints kidogo vile unaweza fanya.
Hivi unayajua maneno 12500 kaka?
nilikua namaanisha maneno 1200 nilikosea kutype mkuuKwa hiyo Tsh 10,000 akipata sana Ni maneno 1,000.
Tena kwa kumsaidia.
nimekosea nilimaanisha 1200Hahahahahahaha hah kwamba post 10 @ maneno 12000 zote 10k can't tena kwa kingereza ebu tafakari kwanza ulicho andika mkuu
Hapo sawanilikua namaanisha maneno 1200 nilikosea kutype mkuu
karibuHapo sawa
Mkuu English sio mchezo.nilikua namaanisha maneno 1200 nilikosea kutype mkuu
Aaah kumbe ferther.THREAD NOT OPEN FOR FERTHER REPLY
Ujasikia tangazo au vp nimeingia chaka hicho kingereza au?Aaah kumbe ferther.
THREAD NOT OPEN FOR FERTHER REPLY