Bleach siyo lotion kila mtu apake, hii ilikuwa kitaalamu zaidi

Yanga mpira wanajua aisee hii burudani sikutegemea kama ntaipata kwa Yanga Eng Hersi kafanya kazi sana na jopo lake sina cha kusema maana jamaa waliona Robo ni mafanikio wakati sisi hapo tunaweza kuvuka ngoja tupewe Mtu yeyote waone...
Robo ingekuwa sio mafanikio ndugu yenu angepelekwa ICU?
 
Habari za kikachero zinaeleza kuwa waarabu waliambiwa wawe makini na pacome mwenye bleach ila chajabu wakakutana na wachezaji wengi wenye bleach, Yao yao, Aziz ki, Diara na Guede aliyeweka ndevu bleach

Walishindwa kumkaba PACOME yupi, AZIZ akawapa haki yao, PACOME halisi akapiga chenga timu nzima.
Mbona na mashabiki waliamrishwa wapake sasa?
 
Back
Top Bottom