Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
hahahahahaha,,huyo naamini hakujua kama angekutana na wewe maana angebadilisha asingevaa manati wengi wao huwa wana za mtoko,,,lol:smile-big:Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
Dah, watu tuko tofauti....mwenzenu napenda demu awe mchafu kidogo....kaarufu ka kusisimua kwa mbaaaaaaaaaali, na tukimaliza sitaki nioge at least kwa siku mbili ili niwe nanukizia nikiwa kazini....kwa raha zangu. Akiwa msafi sana nakuwa turned off.
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
Kwakuwa safari ilikuwa ndefu na wote tumesimama basi ilikuwa issue niwengi niwengi na wapo sasfii tena wamofisini siyo wakata nyasi!
Bras are evil
lol
MgonjwaUkimwi....!.?
Na nyinyi wakaka na boxer zenu chafuuuuuu mpaka znabadlka rangi from white to dirt yaan rang ya maziwa s maziwa full uchafu