Mkuu hiyo blank cheque peleka bank husika watawasiliana na mteja wao, wanaosema mtafute Teller mtoe mpunga wanakutafutia matatizo na hawaelewi lolote wapotezee
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...
Ohh! ahsanteni wakuu, Sorrow to Joy, Bubu Msemaovyo na Elungata kwa kunitoa tongotongo machoni, mi mwenzenu nimezoea kuweka pesa mchagoni, so hayo mambo ya benki mi bado mshamba, kingine pia nilikimbia umande, hahaha hahahaaa!
Mkuu hiyo blank cheque peleka bank husika watawasiliana na mteja wao, wanaosema mtafute Teller mtoe mpunga wanakutafutia matatizo na hawaelewi lolote wapotezee
Yah mkuu unaweza kuidestory tu kwa usalama zaidi maana mwenye cheque asipoiona atatoa taarifa bank wafanye stop payment ya hiyo cheque leaf. Tena ukiichana chana ndio njema zaidi utakua umewaokoa na hao wenye akili kwamba wamtafute bank teller wale chapaa kumbe wananunua msala bure...big up sana
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...