meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
- Thread starter
-
- #81
huyu mama hawezi kazi ameshindwa kuwashauri mawaziri wake vizuri.Haji mponda kila anachoulizwa hajui,lucy nkya hajui kutofautisha MAT na baraza la madaktari Tanzania.yaani kumejaa vichekesho na ulimbukeni.wizara ipo kwa ajili ya kupiga mihuri kwa wale wanaonda india tu!!!shame.ajira za mwaka huu ambazo zilitegemewa kuanza mwezi wa kumi zimechelewa kuliko mwaka jana yaani badala ya kuimprove mambo yanakua mabaya.this is why i personally recommend kwamba huyu mama hafai!!!!!!!Meningitis... kwakweli Nyoni kashindwa kazi sasa....
yote ni kukosa uwajibikaji, kama hamna bajeti mbona watoto wa vigogo wamepangiwa mijini
pili mishahara halipi blandina nyoni zinalipa halmashauri hivyo hakuna sababu kuchelewa kuwapangia vituo vya kazi[/QUOTE
haiingi kichwani,cv tutume wote halafu siye mpaka saa hizi hatujapata post za kazi.watoto wa vigogo wamepangiwa sehemu zote nzuri,wengine tutatupwa mwisho wa dunia.huu ni uonevu,where is the fairness?yaani wanaanza kutubagua mapemaaa.she has to leave
Kweli huyu mama anajitahidi sana ni mfano bora wa kuigwa, wanaojaribu kumhukumu wanafanya hivyo kwa hisia potofu tu!!
oa
Nina Vijana rafiki zangu wamewai kufanya kazi na huyu mama. Wanasema ana matatizo na mapungufu yake kama walivyo viongozi wengi tu serikalini lakini huyu mama anawazidi utendaji wa kisasa watendaji wengi sana
Rafiki yangu alinimbia kama kuna kijana atashindwa kufanya kazi na huyu mama basi hawezi kufanya kazi na bosi yeyote katika serikali . Mabosi wengi wenye umri kama wa huyu mama ni wazito. Huyu mama yuko sharp. Kama itachukua mwaka ku alocate kazi za madaktari basi ujue angekuwepo mwingine ingekuwa miezi 18.
wanamshauri vibaya ndio hawa.kama wameshindwa kuongea na ma-interns na kutuliza hali ya mambo unategemea watamshauri rais kitu cha maana?hata JK ajue anapopata tuzo za kuboresha afya ajue kuna watu wanakesha,wanatembea mabarabarani saa tisa za usiku,wanajichoma na sindano na kuathirika,wanaacha familia zao,wanatukanwa na kupigwa na wagonjwa,wanaishi kwa stress ya kufikiria wagonjwa,wanapigwa loba za mbao wakati wanatoka kazini usiku n.kJK anawachekea hawa aliowateua!
pasco hapa hatubishani who is who.mimi ninachotaka kuona mtu mmoja wa wizara ya afya anawajibika.kwangu mimi kama nilivyowahi kutabiri huko nyuma ni your iron lady.angeonyesha kwa kulihandle hili swala bila kelele na vifo vya watu.Pamoja na madhaifu yote ya Blandina Nyoni, kwangu mimi she is an iron lady, no nonsense lady!. She never bow down to any pressure over her dead body!. Akiwa Accountant General alimgomea CAG kuwa auditors wanakuja kufanya ukaguzi with malice aforethougts kuwa kuna wizi hata kabla ya ukaguzi. Akahamishiwa Malialisili ndiye aliyeving'oa vile visiki kama kina Severe!. Kwa miaka yote akiwa PM maliasili ndipo wizara ikawa top exihibitor wa DITF for 3 consecutive years!. Sasa kaletwa Afya kusafisha mauza uza!. Na atasafisha vilivyo!.
i think your iron lady is no more.......thats why we fired herPamoja na madhaifu yote ya Blandina Nyoni, kwangu mimi she is an iron lady, no nonsense lady!. She never bow down to any pressure over her dead body!. Akiwa Accountant General alimgomea CAG kuwa auditors wanakuja kufanya ukaguzi with malice aforethougts kuwa kuna wizi hata kabla ya ukaguzi. Akahamishiwa Malialisili ndiye aliyeving'oa vile visiki kama kina Severe!. Kwa miaka yote akiwa PM maliasili ndipo wizara ikawa top exihibitor wa DITF for 3 consecutive years!. Sasa kaletwa Afya kusafisha mauza uza!. Na atasafisha vilivyo!.
message delivered!!Message sent...
sana mkuuJF ni kiona mbali
si nilisema?????!!!!!!!!:violin: