meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,658
PART ONE 2010
PART TWO 2012
UPDATES:pinda atangaza kuwa katibu mkuu wizara ya afya bi blandina nyoni amesimamishwa kazi leo tarehe 9 feb 2012
muhimu(tarehe 9/feb/2012)
aliyeandika thread hii hana mahusiano na kikundi chochote cha siasa bali ni kijana mzalendo aliyemaliza miaka kadhaa ya masomo yanayohusu sekta ya afya.alipata tabu sana katika kupangiwa kituo cha kazi mara baada ya kumaliza masomo ukizingatia alikua na hamu kubwa ya kuanza kuwatumikia watanzania,aliwahi kuonja adha ya dharau na majivuno ya mama huyu pale wizarani(najua hawezi kukumbuka).hakukuwa na njia yoyote ambayo ingemuondolea machungu na athari za kisaikolojia kijana huyu zaidi ya kuja kupost thread hapa jf.
vilevile kijana huyu aliwahi kupata matatizo katika kudai posho zake mbalimbali pale wizarani, baadae alipata lakini aliamua kuonya juu ya ubovu wa wizara katika kushughulikia masuala ya namna hii.leo hii ni vyema akasheherekea ushindi kwa watanzania wote hasa wale wanaopita hapa jamvini.
dearest,the permanent Secretary in the ministry of health and social welfare:
I'm kindly asking you to resign for you have been a source of failure in the ministry performance.it has been about 1 month since you announce that different health sector graduates have to submit their C.Vs and relevant certificates for job allocation.I WONDER what is happening?what or where went wrong so far?
why should you step down:
1.there are millions of Tanzanians who are dying or at least suffering simply because there are no qualified health care providers
2.there are hundreds of doctors,nurses and pharmacists who fly away for greener pastures or rather due to the bureaucracy in your office
3.there hundreds of health care providers who change their profession just to avoid the ukiritimba in your office.
there are so many reasons why she has to stand down and let the newest(dotcom) generation perform the job fast.
here is the worst thing in your office:we know by names those who are watoto wa vigogo so far they have been allocated at different health care facilities especially in Dar(which according to your advertisement Dar was not a priority).why is this happening,why are you letting watoto wa wakulima who are willing and able to help their fellow Tanzanians suffer.
my recommendations:we know that the major success in our health system is due to the AIDS(misaada) and plans from developed world and United Nations(WHO) .your duty as ministry(Permanent secretary is the engine of the ministry) is to facilitate and making sure the common mwananchi gets the intended benefits.
Good question is: if it takes AGES to allocate health care personnel how can you ensure afya ya watanzania inaboreshwa.
lastly:take your bags and your belongings and leave our ministry.don't wait till Mr president says go AWAYYYY.
wanajamii nawasilisha!!!!!!
PART TWO 2012
wakuu poleni sana na misukosuko ya siku nzima ya leo.poleni kwa uchovu wa kelele kati ya madaktari na serikali.
pia tuwaombee wale wote waliotangulia mbele ya haki hata kama siku zao ziliandikwa lakini kwangu mimi inawezekana vifo vyao vimetokana na mgogoro huu.huko nyuma niliwahi kutoa post iliyokuwa inamtuhumu bi blandina nyoni na kumshauri ajiuzulu kwa sababu mambo yalikuwa hayaendi vyema pale wizarani.kama kuna uadui kati yako na wadau wengine wa sekta ya afya ni wazi hutaweza kutekeleza majukumu yako.kipindi kile kulikuwa na matatizo kadhaa lakini mojawapo ni kuchelewa kuajiri watumishi wa afya bila sababu za msingi,tatizo hili limerudia tena mwaka huu tena hali ni mbaya zaidi kuliko mwaka jana.mwaka jana watu waliajiriwa mwezi wa 10 na ushee lakini mwaka huu tangazo limetoka mwanzoni mwa mwaka huu.kwangu mimi huu ni uzembe wa wizarra yako hata kama hazina wana tatizo kama pinda alivyojaribu kukutetea jana.
Tatizo la allowance kwa interns
hili tatizo halijaanza leo,sio kwamba zilikuwa ndogo la!!ni kwamba hakuna utaratibu unaoleweka wa kuwalipa interns.yaani intern akishaondoka pale wizarani basi!!wizara haimkumbuki na huko alipokwenda hawamjali kwani sio muajiriwa wao(sijui pinda jana alifukuza kina nani).kinachotokea ni intern kuteseka kwa kukosa allowance au kufunga safari za kila siku wizarani ili apate allowance zake.nakumbuka mliwahi kuunda tume ya kutembela na kutambua matatizo ya interns nchini kote,iliyoongozwa na director wa BMC dr majinge,yule dokta wa private hospitals Dr pamela na dokta mmoja wa muhimbili Dr lembariti.sijui kama walikueleza nini lakini ninachoamini hukufanyia kazi maoni ya interns(jamani, mpaka watu wangoma huwa wanapitia steps kadhaa!!) na kama uliyafanyia kazi basi maoni ya interns hayakuletwa kwa usahihi.
Tatizo la interns waliogoma muhimbili
hivi kulikuwa na umuhimu gani wa kuwafukuza wale interns?na hata baada ya viongozi wa MAT kukushaurini kwamba interns wale warudishwe kwani walikuwa wanadai haki zao,nnyie mkaleta dharau.
Kuhusu madhara ya mgomo wa madaktari
siamini kama unvitumia vizuri vyombo vyetu vya usalama au unakurupuka katika kuamua na kushauri mambo.ki msingi uzembe wako umeleta maafa,watu wamekufa kwa kiburi au uzembe wako.
mwisho naendelea kusisitiza wewe ndiye engine ya uendeshaji wa wizara na kama watanzania walivyoshuhudia wizara yako imeshindwa kulihandle vizuri jambo lilokuwa dogo sasa limekua ni maafa.nina wasiwasi kuendelea kuwa na wewe kama katibu mkuu ni kukaribisha mabalaa na maafa makubwa ambayo hatujawahi kuyaona tanzania.
ni vyema sasa ukafanya maamuzi yatakayokupa heshima na msamaha kwa mungu. JIUZULU utapangiwa shughuli nyingine zisizogusa moja kwa moja maisha ya mwanadamu!!
nawasilisha...................
UPDATES:pinda atangaza kuwa katibu mkuu wizara ya afya bi blandina nyoni amesimamishwa kazi leo tarehe 9 feb 2012
muhimu(tarehe 9/feb/2012)
aliyeandika thread hii hana mahusiano na kikundi chochote cha siasa bali ni kijana mzalendo aliyemaliza miaka kadhaa ya masomo yanayohusu sekta ya afya.alipata tabu sana katika kupangiwa kituo cha kazi mara baada ya kumaliza masomo ukizingatia alikua na hamu kubwa ya kuanza kuwatumikia watanzania,aliwahi kuonja adha ya dharau na majivuno ya mama huyu pale wizarani(najua hawezi kukumbuka).hakukuwa na njia yoyote ambayo ingemuondolea machungu na athari za kisaikolojia kijana huyu zaidi ya kuja kupost thread hapa jf.
vilevile kijana huyu aliwahi kupata matatizo katika kudai posho zake mbalimbali pale wizarani, baadae alipata lakini aliamua kuonya juu ya ubovu wa wizara katika kushughulikia masuala ya namna hii.leo hii ni vyema akasheherekea ushindi kwa watanzania wote hasa wale wanaopita hapa jamvini.