MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
Hawa jamaa wa magharibi ...na mwenzake Bush and others.... Ila bado ICC inawaangalia tu! Na sina hakika kama wanaweza kushitakiwa hata kidogo.
Katika hali isiyo ya kawaida Tony Blair amekiri kufanya makosa huko Iraq lakini bado anadai alitimiza wajibu wake kama Waziri Mkuu wa nchi.
Ukweli wa Ripoti ya Chilcot inasema kulikuwa hakuna mahusiano yeyote kati ya serikali ya Iraq na Al Qaeda wala kundi lolote la kigaidi.
Silaha bado hazijapatikana lakini raia wasio na hatia wa Iraq wanahangaika mpaka hivi sasa. Nchi yao haikaliki ni ugaidi na mauji ya kutisha kila kukicha.
Leo nimeangalia nimeshangaa tu na kusikitika kwa jinsi mataifa ya Magharibi yanaendelea kuleta saisa kwenye maisha ya watu.
Hasa aliposema "THE WORLD IS A BETTER PLACE WITHOUT SADAM HUSSEIN"
Huyu jamaa ni mharifu wa kivita, kifupi hawa ICC ndiyo ingewahusu sana ili wajiunge na wahuni wenzao kina Konyi, Ntaganda, Taylor etc
Link: Blair pledges ‘no excuses’ for Iraq, then spends 2hrs making excuses
CC: Dotworld , Bukyanagandi , vyuma , Masunga Maziku , kahtaan , MOTOCHINI , melkiorysaranga , MSEZA MKULU
Mkuu Malcom, the World knews ages ago that Blair killed a million for OIL and American Power
IMEKWISHA!!!!Kuingiza nchi kubwa kama Uingereza kwenye vita siyo jambo la Anthony Blair peke yake.
Watawala wa Uingereza ndiyo waliamua iwe hivyo: sasa inabidi nchi yao iwajibike.
Kuingiza nchi kubwa kama Uingereza kwenye vita siyo jambo la Anthony Blair peke yake.
Watawala wa Uingereza ndiyo waliamua iwe hivyo: sasa inabidi nchi yao iwajibike.
Kwa huyo unaungana na Donald Trumph kuwa Saddam angekuwepo UGAIDI usingekuwepo?
ni nani aliingilia Kuwait na kuikalia kimabavu
ni nani alitumia kemikali kuwaangamiza maadui zake
Tony Blair na Bush waliiokoa dunia isiingie pabaya kwani Saddam alisumbua zaidi ya muongo mmoja na makombora ya Scud yy aliyaungurumisha popote
Katika hali isiyo ya kawaida Tony Blair amekiri kufanya makosa huko Iraq lakini bado anadai alitimiza wajibu wake kama Waziri Mkuu wa nchi.
Ukweli wa Ripoti ya Chilcot inasema kulikuwa hakuna mahusiano yeyote kati ya serikali ya Iraq na Al Qaeda wala kundi lolote la kigaidi.
Silaha bado hazijapatikana lakini raia wasio na hatia wa Iraq wanahangaika mpaka hivi sasa. Nchi yao haikaliki ni ugaidi na mauji ya kutisha kila kukicha.
Leo nimeangalia nimeshangaa tu na kusikitika kwa jinsi mataifa ya Magharibi yanaendelea kuleta saisa kwenye maisha ya watu.
Hasa aliposema "THE WORLD IS A BETTER PLACE WITHOUT SADAM HUSSEIN"
Huyu jamaa ni mharifu wa kivita, kifupi hawa ICC ndiyo ingewahusu sana ili wajiunge na wahuni wenzao kina Konyi, Ntaganda, Taylor etc
Link: Blair pledges ‘no excuses’ for Iraq, then spends 2hrs making excuses
CC: Dotworld , Bukyanagandi , vyuma , Masunga Maziku , kahtaan , MOTOCHINI , melkiorysaranga , MSEZA MKULU
Mharifu = mhalifu
Mabarabarani=Barabarani (Barabara haina wingi)
Nyani haoni kundule!
Apparently not hila ata huko UN inaonekana kuna mataifa mengine makubwa walishawachoka hawa washirika wa unafiki.Hawa jamaa wa magharibi ...na mwenzake Bush and others.... Ila bado ICC inawaangalia tu! Na sina hakika kama wanaweza kushitakiwa hata kidogo.
Nimekupata vizuri mkuu...maana ingawa mimi ni mchanga katika international matters, ila sijawahi kusikia mzungu yeyote kushitakiwa na hii mahakama. Na kama vile ambavyo wiki kazaa zilizopita Obama alisema walifanya makosa kuivamia Libya, lakini unakuta hakuna kiongozi yeyote anayeshitakiwa...hali ambayo ni tofauti na baadhi ya viongozi wa Africa naam hasa wale wa mataifa ya magharibi ambao wameshashitakiwa na hiyo mahakama ya ICC, na tena haohao wazungu wakiongozwa na Marekani wanawawekea baadhi ya viongozi vikwazo kisa eti wanatesa raia wa nchi zao. Siwatetei viongozi wanaowatesa raia...bali naona kama vile hawa jamaa wameanzisha hiyo mahakama kwa lengo la kuwashitaki viongozi wa Afrika tu. Maana sijasikia kiongozi yeyote hata wa Asia aliyeshitakiwa na hiyo mahakama, labda vikwazo tu ...Kim jong Un...jana. Na upande mwingine ...hawakuruhusiwa na UN kuivamia Iraq, ila bado hiyo UN haijawafanya chochote.Apparently not hila ata huko UN inaonekana kuna mataifa mengine makubwa walishawachoka hawa washirika wa unafiki.
Kumbe soon after the Iraq invasion wakaja na 'aggression charter' kutaka mataifa makubwa kuwa accountable and deterring mambo ya kuzivamia nchi bila ya sababu maalum za kimataifa. You dont expect Israel and USA to sign to something like that any time soon.
However already thirty powerful nations have signed to the charter, UK bado ila kulikuwa kuna serious pressure to sign to it; after this damning evidence na kila mtu anaonekana kama kumgeuka Tony Blair the case to sign is more stronger (hadi mkuu wa majeshi ya majini anadai aliambiwa aande watu miaka miwili kabla, kwa hivyo yeye alijua tu lazima waende Iraq kwa vyovyote with or without the case).
Utegemei UK kiongozi wao watampeleka the Hague lakini it means in the future atashitakiwa katika mahakama zao iwapo kuna ushahidi wa kulazimisha vita au kwa kuburuzwa na marekani; it is no suprising to learn wamarekani wamemkali kooni Cameron asikubali ku-sign maana wanajua in the future itakuwa ngumu sana kupata ally ya UK given their political viewpoints.
Nimekupata vizuri mkuu...maana ingawa mimi ni mchanga katika international matters, ila sijawahi kusikia mzungu yeyote kushitakiwa na hii mahakama. Na kama vile ambavyo wiki kazaa zilizopita Obama alisema walifanya makosa kuivamia Libya, lakini unakuta hakuna kiongozi yeyote anayeshitakiwa...hali ambayo ni tofauti na baadhi ya viongozi wa Africa naam hasa wale wa mataifa ya magharibi ambao wameshashitakiwa na hiyo mahakama ya ICC, na tena haohao wazungu wakiongozwa na Marekani wanawawekea baadhi ya viongozi vikwazo kisa eti wanatesa raia wa nchi zao. Siwatetei viongozi wanaowatesa raia...bali naona kama vile hawa jamaa wameanzisha hiyo mahakama kwa lengo la kuwashitaki viongozi wa Afrika tu. Maana sijasikia kiongozi yeyote hata wa Asia aliyeshitakiwa na hiyo mahakama, labda vikwazo tu ...Kim jong Un...jana. Na upande mwingine ...hawakuruhusiwa na UN kuivamia Iraq, ila bado hiyo UN haijawafanya chochote.