Blackberry torch 9800

Blackberry torch 9800

Mwache akawauzie wachimba madini.. Laki saba unusu si bora nkannue kiwanja mbande.. Ingekuwa haina tatizo la mic angeuza mil 2 huyo!!!!
 
Hahahaha nouma' huenda ukiweka mfukoni inakujaza pesa bana. Embu tumuulize vizur sababu ya kuiza bei hiyo.
 
ukitaka kuuza kwa 300000.nitanunua lkn isowe imechoka saaana
 
Jamani kakosea anamaanisha elfu sabini na tano,75000!!kama ameletewa na hajui bei ya soko unategemea ataropoka nini hapo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom