SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,904
nazani black beri wanasubiri kununuliwa next year wakishabolonga na bb10 os yao mpya, been out of the game like 3years without new os. Nikosa la jinai kwenye ushindani wa smatphone were everyone is looking to have the share of the market.
This will be a year for BB10, honestly the os is powerfull and awesome and many are awaiting for it, go youtube check features and compare Dev Alfa with iphone 5 and the new Lumia find comments in youtube about perfomance.
Inagombewa wapi? May be bongo. Lakini kwa US, BB is going under!tatizo moja ni kuwa wengi wanaipenda sana blackberry,na jamaa RIM wana kiburi sana though kuna competition ya biashara etc, wao hawajali wanafanya mambo kwa wanavyotaka wao na si kwa wanavyotaka wateja wao,malalamiko ya wateja yangekuwa yanawaumiza vichwa wangerekebisha mapema tu ishu zinazolalamikiwa as ni ndogo sana kwao..ila wanafanya watakavyo na sio wanavyotaka wateja, na still bb 10 itagombewa kama njugu,am waiting for it..i can compare RIM to Microsoft..doing what the inventor feels and not following what the customers need
This will be a year for BB10, honestly the os is powerfull and awesome and many are awaiting for it, go youtube check feauteres and compare Dev Alfa with iphone 5 and the new Lumia find comments in youtube for urself
Kiongozi vitu gani vinavuotambua uzuri wa simu..?
Tukiachana na os, Kuna comparison zimefanyika kwa device zote mfano browsing test,multimedia nk,kwa Dev Alfa,iphone 5 na Samsung and the results are very open
Mfano lumia 920 ina serious issue kwenye charge and colour ukiwa unapiga picha
Iphone 5 is not good in browsing and maps
BB10 pamoja na handset mbili za Blackberry zinazinduliwa 30th January 2013. Sina uhakika sana lakini wataalam wa biashara wanasema hata kama mauzo yake yataboom kwa kiasi gani bado hayataisaidia RIM kustablelize. Na hii waombee hawa wengine (Hasa Apple) wasije na kitu kitakachowafanya RIM wacompete. Uwezekano wa ku survive ni mdogo sana mi nahisi tuanze kujiandaa kusubiri kuona nani atawabeba (Usishangae akawa google au apple)
wana timing mbovu hii simu ilitakiwa ianze kuuzwa december maana ikitoka january 30 wakati tuna mwezi tu pale barcelona kwenye mwc zitazinduliwa simu za flagship si chini ya 10 toka samsung (maybe sg4), nokia, lg, apple (rumors 5s), htc, huawei (wp8 maybe) na wengine weng
Whats the fun in BB? Zaidi ya BBmessenger mi naona haina ishu kabisa BB! Kama ishu ni kuchat kuna whatsapp, viber, tango, skype, sasa jamaa hawana ishu kwa kweli! Afu mimi BB inanishangaza pale inapokua battery low, network inajizima, sasa whats the point ya simu kukaa on if you cant receive important calls and text messages? Bb ni vimeo sana
Umeua! Madongo yako mazito