Pole, na hongera kwa kumiliki Blackberry Pearl, Storm ni kimeo!. Backberry zote zinatumia mtandao wa rim bila kujali unaconnect kupitia wapi. ukishadownload, picha utazikuta kwenye e-mail yako. hao rim wanazituma moja kwa moja, hivyo fungua e-mail yako utazikuta picha ulizodownload.