BlackBerry kutengeneza smartphone inayotumia Android OS.

gimp

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
65
Reaction score
14
BlackBerry ana mpango wa kutengeneza smartphone itayotumia Android OS. Je! simu hii italeta msisimko wowote kwa watumiaji wa smartphones? na pia Blackberry alikuwa akifanya mambo gani muda wote huu ambapo alikuwa akihangaika kurudisha hadhi yake!

=================================

Chanzo: Blogs
 
So far ni wazo zuri. Nahisi zitakuja na Android M[emoji2]
 
Aisee hiyo nitakuwa wa kwanza kuinunua. Itakuwa imetulia sana
 
BB is going to hell, by Kiranga
Jamaa inaezachukua muda mrefu sana kushake soko la smartphone tena.
 
Last edited by a moderator:
Bb walikuwa na simu borA sana hasa upande wa kamera. Tusubiri ujio wao
 
BB is going to hell, by Kiranga
Jamaa inaezachukua muda mrefu sana kushake soko la smartphone tena.

BB is not for the Tom dick and harry!!! and they are shaking it on the software side of things sales za ziko juu kinoma!
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli mpaka leo mm binafsi sihaona simu zilijua nzuru kama Blackeberry ... ni jana tu nimetokea kuongea na mtu kumuuliza kama unaweza fanya mpango wa Kupgrade OS ya BB to Adroid.
Na pia nikajiuluza kwann hawa hama wasifanye mpango huo .

Na kweli sasa mambo waah ... verry good .. tunaingoja ...wapenzi wa Blackberry..mcheze vizuri na Price tu.
 
hizi touch hizi kazi tunayo..
 
BB is not for the Tom dick and harry!!! and they are shaking it on the software side of things sales za ziko juu kinoma!

Blackberry 3 years ago walitoka kuwa kampuni yenye thaman ya 84 billion dollars to just 3 billion dollars.
Iphone killed blackberry but blackberry storm buried RIM
 
Blackberry 3 years ago walitoka kuwa kampuni yenye thaman ya 84 billion dollars to just 3 billion dollars.
Iphone killed blackberry but blackberry storm buried RIM

ila thamani za hisa hazipo stable japo mi muhimu, kunaweza tokea ka trend tu kakijinga hisa zikapanda kampuni ikawa na thamani ya ajabu.

mfano nokia alipouza department yake ya simu hisa zake zikapanda balaa na value ya kampuni ikaongezeka (japo ukubwa umepungua)
 
natumia Z30 sijawahi kuwa dissapointed na vijana wa BlackBerry wanavyopigana kurudi on top.. wanatengeneza smart phone za kufa mtu nowdays zenye BlackBerry 10.3.1 os.. sema price zao sasa ndio balaa
 
Blacberry watafute special customers...
Kuingia android ni kujiua kabisa, huko samsung ameshashika...
 
nona BlackBerry z10
na experi z2.nimeiweka ndani maana BlackBerry z10 nikitaka vitu application android nazipata zote..bila kuasili mfumo wa simu
 
naskia nokia wanarejea tena kwenye soko la smartphones mwakani, ni kweli mnazi wa nokia?
 
Bb walikuwa na simu borA sana hasa upande wa kamera. Tusubiri ujio wao
Kwa mujibu was source ni 13MP rear cam. Na 5mp selfie cam.... So far is big stage na kama unavyowajua blackberry na ubora wao ktk camera.
AndroidBerry OS..
Mkuu ndo ipoje iyo? Vipi kuhusu security?
BB is not for the Tom dick and harry!!! and they are shaking it on the software side of things sales za ziko juu kinoma!

Mkuu snipa ulimuelewa vibaya jamaa. Embu pitia vizuri comment yake.
 
Last edited by a moderator:
Hey hey you've got no idea,
Go to bed and have nice dreams.

All in all. this comment made my day. LMAO.

UPO VIZURI KTK KUZODOA watu. I know you on that way HAHAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…