blackberry internet

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Jamani naombeni msaada jinsi ya kuweza ku access internet kwenye blackberry kama wenye mobile phones za kawaida, e.g bundles za mb 50(Voda) au mb400(Airtel) for Tsh 2,000 and 2,500 respectively per month.
 
kuna option 3,1 weka lain ya airtel itaingiza browser ya internet automatically kwenye sim yako then kupitia hiyo browser google then download opera min or opera mobile na utakuwezesha kutumia net bila data plan,2 option install blackberry desktop manager kwenye pc then download opera min or mobile and install it through cable,3 option kama sim yako ina wireless nenda eneo au internet cafe yenye wireless connect sim yako na download opera min or opera mobile-wish any of the procedure will help
 
Ingawa zoezi lenyewe linaonekana kuwa gumu, lakini ngoja tujaribu.
 
Asante sana mkuu, ngoja nijaribu.
 
Its not possible to access blackberry internet services like bbm, app world, twitter for bb, emails, even u can't use native browser, only opera mini
 
hata mimi nina bb nimeamua kuiweka chini maana tshs.12000/kila wiki imenishinda! ngoja nijaribu ushauri wako aisee!
 
Kuwa ba BB na usitumie BB service ni bora usiwe na BB, unaweza kushtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…