blackberry inauzwa

blackberry inauzwa

samdala

Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
37
Reaction score
1
Blackberry storm touch screen...ukipenda laki tano bei ya mwish 4 na nusu
 
Source?



:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Ipo mji gani? Mawasiliano je yakoje?
 
kuna laki na nusu hapa... Ukiweza kama utakubali kuchukua hiyo pesa, 0717321336
 
Kwavile wewe ni mdada leta tu iyo laki na nusu

mimi ni mwanaume rijali,,, jamii nzima ya jf inanijua,,,,, lakini nimegundua kua unapenda sana kuhonga,,, ntafanya mpango wa kutafuta mwanamke, akulainishe umuhonge hiyo simu,,,, nyie ndo mnaokufa maskini, mnashindwa hata kuwalipia watoto zenu ada kisa kuhonga
 
Blackberry storm touch screen...ukipenda laki tano bei ya mwish 4 na nusu

sasa ndugu yangu hiyo laki tano umeisema ili iwe nini? unafikiri kama mtu anataka kununua atatoa laki tano au 4 na nusu?
 
Laki 5 Hapo napata simu kama 3 hiv full internet, na maujanja mengine
 
ndugu yangu samdala, naona kama vile hapa jf hakuna mtu anayeitaka product yako, nnachokushauri, kahonge, manake ushajionesha sana kua unapenda kuhongaa, kabla hata hao utakaoenda kuwahonga hawajaikataa kama ilivokataliwa hapa
 
mimi nitakupa laki na sim nokia ya torch juu, unasemaje..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom