baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Feb 28, 2012 #1 Habari wakubwa, Nauza hiyo Bold Inakua na charger na earphone Bei ndo hiyo 350000 Napatikana Dar na unaweza nichek kwa namba 0655-003510 kama unahitaji.
Habari wakubwa, Nauza hiyo Bold Inakua na charger na earphone Bei ndo hiyo 350000 Napatikana Dar na unaweza nichek kwa namba 0655-003510 kama unahitaji.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Feb 28, 2012 #2 Ni mpya au kuukuu?
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,168 Reaction score 8,936 Feb 28, 2012 #3 Safari_ni_Safari said: Ni mpya au kuukuu? Click to expand... kaka ikiwa mpya huwezi uziwa kwa hiyo bei ,naona huo ni mtumba(used),anyway ngoja aseme mwenyewe mi ni mchangiaji tu
Safari_ni_Safari said: Ni mpya au kuukuu? Click to expand... kaka ikiwa mpya huwezi uziwa kwa hiyo bei ,naona huo ni mtumba(used),anyway ngoja aseme mwenyewe mi ni mchangiaji tu