blackberry 9900 bold inauzwa bei poa

blackberry 9900 bold inauzwa bei poa

Uaminifu ndio kitu bora katika biadhara, kila la heri mkuu!
 
Hakuna picha wala nini, au ndo kama mdau mmoja alivyotuonya kununua simu za humu JF nyingi ni vimeo vilivyoshindikana.
Huna maelezo ya kutosha mzee. Rudi tena ueleweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom