Black women are sweet

Ndio maana mama yangu ananiambiaga wanaume ni waongo waongo. Ngoja nipambane na weusi wangu tu [emoji134]
Pambana nao mdogo wangu anaweza kupa sifa za dunia nzima we cheusi mangala ila mwisho wa siku akawa na mchepuko mweupe kama mzungu.

Hivyo amini alichokwambia mama na kiufupi ni kwamba hawaeleweki kabisaaaa.
 
Hahahaa. Hakuna wa kukumwagia maji ya moto mie dada yako nipo.

Ila usiniambie sina habari ujue. Basi usijali sikugawi tena mdogo wangu tubaki tu. [emoji12]
Bora nibaki na wewe tu.

Natamani sana kukutembelea chumbani,ila bado sijaifahamu njia ya kunileta kwako [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…