James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,754
Unapofanya biashara unakuwa na uhakika wa 100% kupata faida. Kama inapungua hata asilimia 0.1 hapo. Basi hiyo ni probability. Na according to definition yako ya kamari basi biashara zooote unazijua hapa duniani ni kamari sababu zinainvolve chances....mkuu FRANCIS DA DON shida ni kuwa mtu anaposikia kamari anajua ni kubeti mpira au matokeo ya mpira tu-hajui kuwa kuna kamali aina tofautitofauti duniani
kitu chochote ambacho huna uhakika kama kitatokea au hakita tokea ni kamari