Black note 3 kwa 450000 inatakiwa leo

Black note 3 kwa 450000 inatakiwa leo

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
Iwe nyeusi. Iwe na kila kitu. Iwe original. Iwe dar. Iwe leo kabla ya saa 5. Bajet yangu sh 450000. 0713105070
 
Kwa hiyo hela huwezi pata mpya si bongo wala China but if you need used u can get for 480000 up to 500000 lakini itakupasa kusubiri kwani kuna mtu atafika Tz kuanzia tarehe 20 January,2015. Hiyo bei ni ya used si mpya.
 
Back
Top Bottom