Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Hahahah! Wew kichaa, curve 8520 inauzwa 250,000 mpyaa kwa box sasa wew unauza laki 7??? DuuuWakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna mtu yupo tayari. Nimekuja nazo kutokea uk. Na t.shirt za man u na arsenal original wahi haraka. Ni pigie 0713669533.
Nb: Simu hizi ni mpya, warranty miaka 5 kila simu nitakupa na certificate yake. Ina memory 2gb original
Hahahah! Wew kichaa, curve 8520 inauzwa 250,000 mpyaa kwa box sasa wew unauza laki 7??? Duuu
Mkuu kwa bei hiyo inaonesha ni vere spesho,namaanisha ni self container full furnished au sio?Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna mtu yupo tayari. Nimekuja nazo kutokea uk. Na t.shirt za man u na arsenal original wahi haraka. Ni pigie 0713669533.
Nb: Simu hizi ni mpya, warranty miaka 5 kila simu nitakupa na certificate yake. Ina memory 2gb original
Huyo mkali sana.... Kama una wateja wa design hiyo embu niwe nakupa mizigo yangu uniuzie kwa hizo bei zako. Marty huyu jamaa mkali sana babae!!