teh teh teh teh teh hiyo utamuuzia labda mshamba aliyetoka leo MAGU wote tunajua kuwa blackberry storm ni BOMU na RESEARCH IN MOTION RIM -watengenezaji wa blackberry wenyewe wamethibitisha hilo na ndio maana hawatoi tena blackberry strom coz Canada, Australia, India , na Usa wamelalamika sana kuhusu hii product ....
anyway nisikukatishe tamaa majuha wapo wengi utampata tu wa kuingia kichwa kichwa