Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam kwani Serikali ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa changamoto ya Umeme ipo mwishoni kwani kuanzia Februari 22, mgao haujatokea kwa mkoa wa Dar es Salaam...
Yani wabongo ni hewala hewaa tu, hali ya nchi ilipofikia isingekuwa rahisi kwa serikali hii kuendelea kuwepo madarakani kwenye taifa linalojielewa kama Ulaya ama USA.