1.Jina walechukua kwa bitclub.network
2.Nafananisha mpaka na rangi na nembo za kampuni
3. IMO - Bitclub advantage inatumia pyramid scheme, nafanana na kampuni syo kweli sababu hawana trading platform kama wote trade experts size huuwala hawana mining rigs, sasa pesa zote inatoka wapi(kama sio kutoka mfuko ya mwezako...) ?
Hizo ni maoni yangu tu.....