Bitcoin cash up by 40%

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
Kwa masaa machache bitcoin cash imepanda kwa asilimia zaidi ya 40%.

Kwa wale wanainvest kwenye cryptocurrencies, Christmas has come early for them!!
 
Kwa kweli huwa sielewi hii kitu, natamani to invest into bitcoin lakini nikifuatilia mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…