mkuu antivirus nyingine matatizo tu, zimekaa kibiashara zaidi...utaumia kichwa sanaaa tu...kwa nini usitumie antivirus za kueleweka kama Microsoft Security Essential ambayo ni free from microsoft na iko bomba sana tu...!! hiyo bit defender inazinguaga sana mkuu....