Bishop Dr.J.Gwajima

Duuu kuna watu wameumbwa kuzungumza kila kinachowajia kichwani
 
Gwajima anatakiwa kukamatwa akanyee debe! Huo mpango atakuwa anausuka mwenyewe!!
 
Video yak3 tafadhari
 
Yeye nani mpaka awaombee watu wasife hii ni jeuri
 
Kiuhalisia hapa naona anayetafutwa ni Rais, wala siyo EL .

Wanajificha kwenye kivuli cha EL, ila ni lazima wafe wao na rais wetu ataishi na atamaliza mihula yake yote kwa amani ili ale pension yake taratibu raha zake.

Rais, we kaza tu mafisadi wakome.

Tunaomba, msaada wa wachambuzi wabobezi akina :The bold, Nifah, Beautiful Nkozuzana, Yericko Nyerere, Infetry Soldier, Liziboni , Pascal Mayalla na wengine wote waje hapa tupate picha halisi mapema plz.

Nitarudi tena.
 
Hii habari ni nzito sana, yafaa askofu atoe maelezo ya kina ili kusaidia kuwabaini wenye mpango huo na kuwadhibiti
 
mkuu, funguka ilikuwaje hadi akasababisha wewe kuibiwa na ni yupi hapo maana naona gwajima na bushiri !?

Kuanzia hapo tunaweza tukaunganisha dots na kuelewa anachotaka kutuambia Kwa huu unabii wake!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…