Birthday

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Wana jf leo ni birthday yangu natimiza miaka 40 namshukuru mungu kunifikisha hapa kwani bila yeye hakuna mwenye uwezo zaidi yake.Nawatakia maisha mema wote amen
 
Amina

Ila sijaelewa bado unamaanisha nini kwa kusema "leo ni BARTHDAY" me nimelifananisha tu hilo neno na BIRTHDAY.
 
Dah! na mie nilijiuliza sjui ni siku ya kuoga au kuzaliwa vile??
 
amina

ila sijaelewa bado unamaanisha nini kwa kusema "leo ni barthday" me nimelifananisha tu hilo neno na birthday.

hata unapokula chakula ulimi unatereza unajiuma nashukuru kwa masahihisho
 
amina

ila sijaelewa bado unamaanisha nini kwa kusema "leo ni barthday" me nimelifananisha tu hilo neno na birthday.

hata unapokula chakula ulimi unatereza unajiuma nashukuru kwa masahihisho
 
happy b/day bana!
Watu wanajidai hawajakuelewa wakati umeeleweka kabisa.

nashukuru umenipata si unajua wabongo kwa kujidai wazungu wakiitwa kwenye usaili wa kizungu wanaingia mitini asante mamajac
 
Hapa tuna discus kiinglish au ?
Nway mkuu congra!
Kitu forty si machezo!
Mishale , mikuki uliopishana nayo ni ya umwagwe!
 
Ingawa umechapia ila hongera ujumbe umefika.

Ofcoz kimaono yangu mie mkuu, sijaona kama amechapia because being spell err ni kitu kipo siku zote anyone can never avoid it!
Wala hapakuwepo na umaana wa kushadadia minor cases like.
Errability is just occured anywhere!
 
Fantastic Answer by a philosopher
to a question asked at the BBC.
Define Birthday!
Answer: The only day in your life,
when you cried & your mother was Smiling..!

happy born date dearest, enjoy and be happy.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom