Pole mkuu, huenda nyie ndo mlichaguliwa na TAMISEMI mkaenda kuijulia hiyo kozi hukohuko chuo, so mkasoma ilimradi, ila ni suala la muda tu mambo yatakaa vizuri, usidhani utamaliza chuo leo then kesho upige pesa.
Kipindi cha mpito lazima kiwepo, na ni jambo la kawaida tu.
Ila ukisoma na ukawa vizuri na kazi zako zinaonekana hata ukiwa field utaona unaanza kupata connection.
Mkienda uwandani msiende kuuza sura, jifunzeni kila mnalopaswa kujifunza. Site uwe vizuri na software uwe vizuri pia.