But Diploma ipo Bomba ama ajira ndo hadi ujiajir???Ingawa ajira zake ni ngumu hizi kozi ndio zenye maisha law,ba,public administration,finace,economics,accounting.
Ila ukitoboa kwenye hizo kozi umetoboa kweli.
Achan na hizo kozi za daraja la chini la wafanyakazi...soma kozi za daraja la juu la watawala ukale maisha.
Pia chagua kozi itakayo kupa nafasi ya kujiajiri pia mana kitaa ni kigumu balaa.
#MaendeleoHayanaChama
Nimekupata! But nilikua namawazo mawili ya kwenda kusoma au nisiende nifanye biashara Ila nikawa na wazo niulize kwanza !Mkuu ukiwa unasoma achana na swala la ajira Soma kile kitu unachovutiwa nacho zaidi utanishukuru baadae
Hakuna kitu kama hicho.Chuo TEKU Unaenda...!!!
Nilitaka kushangaa mbna vigezo vya degree hana kabisaa,Hata hyo education uliyoidharau hupat hujafika walau D mbili mkuu
Soma hyo hyo au diploma in electrical engineering
Sasa TEKU nacho ni Chuo? Ndo maan umepata DEE.Chuo TEKU Unaenda...!!!
hahahaha!!! No problem! O level nifanya vizuri one ya 9 nashanga Advance nimeenda kuwa bridge kwa wengine!!!2yrs imepotea bureee, aseeeh poleee sanaa.
PCM walau hata ungepata DDD. Ulikua unacheza sanaa eeeh?
Au ufaulu wako wa CSEE ulikua wa mchongo? Nawee ukayavagaa tyuuh 1 kwa 1 Advance,
Woiiiiiiiiih
ooooh!!! hapo sawa Nimekupata Asante be blessed!!!Nimepita huko Biomedical was so hot wakati iko introduced for the first time and Arusha Technical was the first College to introduce Biomedical, The first batch was all taken to various Hospitals but ilikuwa ni Upepo tu
Frankly speaking Kasome Course kati ya Hizi
-Civil, Mechanical au Electrical
But as long as you have shown interest with biomedical just go to Electrical
Those 3 courses are Core Courses
Ila kama hutegemei ajira nenda chochote ukipendacho