Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali.
Kwanza Pole na Salama yake.Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali.
Kwanza mtoto wa kike hana Hernia ana chango la kike huyo sio hernia. Mpeleke Hospitali asipo pona tutafute tupate kumtibia maradhi yake.Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali...
asante mkuuPole sana.. Henia huwa haiponi bila surgery njia hizi kama Kufanya mazoezi ya yoga...kufanya masaji au kuvaa belt husaidia kupunguza maumivu lakini matibabu yake kabisa Surgery lazima ihusike. Mpeleke mtoto hospital.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu umejua ni hernia ipi? Mtoto wa kike hawezi kuwa na Hiatus hernia au Umbilical hernia au Femoral hernia?Kwanza mtoto wa kike hana Hernia ana chango la kike huyo sio hernia. Mpeleke Hospitali asipo pona tutafute tupate kumtibia maradhi yake.
asante mkuu nimeenda hospitali wanasema oparesheni sasa nisingependa afike hukoKwanza mtoto wa kike hana Hernia ana chango la kike huyo sio hernia. Mpeleke Hospitali asipo pona tutafute tupate kumtibia maradhi yake.
Je huko Hospitali walikwambia anayo maradhi ya Hiatus hernia au Umbilical hernia au Femoral hernia? Bitafute kwa wakati wako ili tupate kumtibia mwanao.asante mkuu nimeenda hospitali wanasema oparesheni sasa nisingependa afike huko
Mkuu mekosea kuandika Mtoa Post angeliandika kama ulivyo andika wewe ningemuelewa vizuri kabisa.Kwani ameandika neno hernia maana yake ni ngiri na ngiri anakuwa nayo mwanamume na mwanamke anakuwa na chango la kizazi sio ngiri. Au angeandika kama ulivyo andika wewe ningemuelewa vizuriMkuu umejua ni hernia ipi? Mtoto wa kike hawezi kuwa na Hiatus hernia au Umbilical hernia au Femoral hernia?
Pamoja mkuu.Mkuu mekosea kuandika Mtoa Post angeliandika kama ulivyo andika wewe ningemuelewa vizuri kabisa.Kwani ameandika neno hernia maana yake ni ngiri na ngiri anakuwa nayo mwanamume na mwanamke anakuwa na chango la kizazi sio ngiri. Au angeandika kama ulivyo andika wewe ningemuelewa vizuri
sawa nitakutafutaJe huko Hospitali walikwambia anayo maradhi ya Hiatus hernia au Umbilical hernia au Femoral hernia? Bitafute kwa wakati wako ili tupate kumtibia mwanao.
Chukua mzizi wa turatura, wengine mnaita ndulele. Chemsha mpatie vijiko vikubwa viwili asubuhi na viwili jioni kwa muda wa siku tatu. Ataponasawa nitakutafuta
Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali...
Mwanangu wa kike anamiaka 12 anasumbuliwa na henia msaada tafadhali...