Baghdad2016
Member
- Jun 18, 2016
- 11
- 3
Natafuta binti mwenye uzoefu na Kazi za stationary wa kufanya Kazi kwenye stationery yangu ndogo awe ana vigezo vifuatavyo.
1.Awe anaishi Temeke.
2.Muaminifu
3.Speed ya typing (lazima)
4.Ajue kutumia computer programs vizuri na Kutumia photocopy machine
5.kutengeneza kadi za harusi na mialiko
Usipige simu tafadhali tuma ujumbe mfupi weka jina lako na uzoefu wako ktk Kazi hii.
0713454603
Mshahara sh 100,000 p/m