tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 695
Hahahah Mto wa Mbu kule kuna Vitz kweli?
Hahaa, mkuu Mimi hata kwenye movie sihongii aisee[emoji3] [emoji3] ,bora movie ihairishwe tuuMi nasubilia hapa ile Nadia uliyoagiza unihonge kwenye part two ya Hii movie
umeona hii kahawa eeh! moyo wa mwanamke kuwa rahisi kiasi anachosimulia moasha habari si mwanamke wa dunia hii. lkn pia aongeze na vitz hatujui kadi inamtaja nani, labda ya wizi, urithi, naye kahongwa, lkn hapo hapo na kupima vvu na majibu yaje kadri ya wapimwaji walivyotamani iwe.Watoto wa fb naona mmehamia huku
Hiyo movie yenu Kigosi yumo au ni Gabo tu?
Kula aiyma konkNapafahamu sana,huko ni KWETU.Huyo demu Wa Kiiraki mwenye vitz hayupo,kama yupo labda awe amenunua jana ,kwani Mimi nimeondoka ijumaa nipo arusha,narudi ijumaa ijayo.
Farakhedaa kahoo khaigee,SAA!!akhamisaaa!!
Halaf mbaya Zaid ukute Kuna mtu ulimtegemea akutumie hela kwenye tigopesa halaf kazingua,huwa inaboa sana aisee.Mara ghafla pah! unashtuka baada ya kupitiwa na usingizi, saa inasoma ni saa saba mchana! Bado hujapata hata chakula cha mchana kwa mama ntilie, na mfukoni huna kitu! Kuna ndoto nyingine ni za kipuuzi sana.
Basi hata mkokoteni tuHahaa, mkuu Mimi hata kwenye movie sihongii aisee[emoji3] [emoji3] ,bora movie ihairishwe tuu