Jamaa Alimpa mimba binti wa kichaga, Baba mtu alikasirika na akapanga kumuua jamaa, Jamaa akamtumia salaam mzee kwa kumwambia mzee ni kweli mie nimempa mimba binti yako na kusema ukweli sina mpango wa kumuoa,
lakini natoa ahadi akizaa mvulana nitakupa bilioni1 na mtoto nitamchukua, Na Akizaa msichana nitakupa M60 na duka kariakoo, lakini mzee ikitokea bahati mbaya mtoto kufa je itakuaje? MZEE Akajibu:-Aise babaangu itabidi umpe mimba ingine hakuna jins.