Mate yanamdondoka kama fisi aliyeona mzoga hatak kuamini kwamba kitumbua kina mchangaaukitaka skudanganye ili akuambukize?.....kuna watu hata uwaambie ukweli bado watahoji....okay kwa kufupi hana, wewe gonga tu halaf baadae njoo hapa tukushauri jinsi ya kuishi kwa matumaini
she looks so innocentukitaka skudanganye ili akuambukize?.....kuna watu hata uwaambie ukweli bado watahoji....okay kwa kufupi hana, wewe gonga tu halaf baadae njoo hapa tukushauri jinsi ya kuishi kwa matumaini
Sivyo hivo unavodhani . . nimekuja hapa kwa nia njema kabisaSasa mkuu hauna siri kumbeeee amekuambia usimuambie mtu na amekuambia wewe kwa kuwa anakupenda hatak akuangamizee wewe tena umekujaa kumsemaa hapa umemkoseaaa au unahisi ni tekniki ya kukunyima mdhigoooooo
kwahiyo unataka kula na ndom?daaa binadamu hatuogopi!!!sijala.... ila alijua kabisa namtamani....koz mke wangu yuko mkoa mwingine.... nafkiri alikua anantaadhari kwamba.. . nisisahau ndom
Nia njema ipii amekuambia usimwambie MTU wewe umekuja kumwaga mboga humuSivyo hivo unavodhani . . nimekuja hapa kwa nia njema kabisa
"umeshapita naye tuanze kuhesabu siku mkuu"amenifungukia kwamba ni + .... nimechokaaa
mbona umesema sasana ananiambia kwamba Im the 1st ..that the silence is broken.....na amenisihi nisiseme kwa yeyote ..
aaaahhhhh...