Binti na maharage ya morogoro

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,110
16,006
miaka mingi sana iliyopita sina simu wala sanduku la barua,kuna kabinti nilikutana nako na kikawa nakachovya chovya,nafkiri kalikua katoto ka mpinzani mmoja che mponda kakiitwa mbesile.
basi bana enzi hizo hakuna mobile wala nini ni mwendo wa pio box,mi nimekolea mamaake mdogo akashtukia mchezo akakapiga transfer karudi kwao,tunakaa tmk miaka hiyo kota na mimi naokota tu kalikua kota ya jirani,
katika miadi ikawa usijali njoo moro unifate baba angu mshua utakula bata na bwalaalabwala.
mzee siku ya siku nikala islam huyooo mpaka moro,hamna simu hapo tumeongea kwa barua nafika stendi hola nikasubiri masaa kama matano hivi nimuone hola.

mwisho njaa ikaniuma nikaona nitafute msosi then nirudi tu dar na basi la mwisho.
bana pale stendi pembeni kulikua na kijihoteli fulani hivi cha waburushi nilikula wali nyama nikaletewa maharage kama kionjo to tu.
Yale maharage ndio yalionifanya nikaandika uzi huu,wale jamaa kama bado wapo wapeni salamu zangu,bado natafuta ile ladha ya maharage yao sijawahi pata yalikua matamu sana.
Mbesile mponda atakua ashakua kabibi sasa :D:D mi nadunda tu.
 
hahahahahah pamoja mkuu kuna maharage yanawekwa vitunguu saumu nadhani ndo ulikutana nayo
 
Aisee una bahati yaani unaishi mpaka leo hii? Wale jamaa maharage waliyokuwa wanauza si maharage kweli, yale yalikuwa mavi ya mbuzi/kondoo ambayo yaligeuzwa kitoweo kimazingira. Miaka ile watu wengi wasiojitambua walikula sana na kuvimbiwa na wengine kufariki kwa kula kinyesi cha mbuzi.
 
Umenikumbusha nami natoka Arusha naelekea Morogoro...

Nadhani hadi leo ananitafuta japo anijue sura. imeishia hapa.

Babu nakupa taarifa humu wa rika lako wamemeguka vijana mnatupa shida kusoma lugha zenu mlizotumia kuwatongozea wake zenu wa miaka 80.

Asante kwa stori.
 
Aisee una bahati yaani unaishi mpaka leo hii? Wale jamaa maharage waliyokuwa wanauza si maharage kweli, yale yalikuwa mavi ya mbuzi/kondoo ambayo yaligeuzwa kitoweo kimazingira. Miaka ile watu wengi wasiojitambua walikula sana na kuvimbiwa na wengine kufariki kwa kula kinyesi cha mbuzi.
utakua kakake mbesile we bwege mi nilikula maharage halisi yene viungo vizuri na ladha na harufu nzuri.
we mwanamwanga akili yako matope inafkiria uchawi tu.
mi nna koo mbili kongwe na zote ziko front na kote ni kiongozi,
jiangalie ww
 
Sasa mbona ulishalishwa mavi ya mbuzi kudhania ni maharagwe kama kweli una koo kongwe? Salama yako ni huko kuwa hai mpaka leo hii kutokana na kukingwa usiuliwe ila mavi ya mbuzi umekula kwa kudhania ni maharage. Hongera maana ulisema ni matamu hujawahi kula hapa duniani....mimavi hiyo, Ohoooo!
 
angalia pumbavu hili,maharage yako kila kona bongo we pumbavu,shilole anakuuzia mavi ya mbuzi?anauza maharage shilole,esha buheti,lamarfishkrab ni mavi ya mbuzi?we kukuz una mavi ya mbuzi mdomoni ulishanyewa na mbuzi fala ww ndo mana kila kitu kwako ni mbuzi mbuzi tu,utapigwa miti na mbuzi mda si mirefu
 
Aisee una bahati yaani unaishi mpaka leo hii? Wale jamaa maharage waliyokuwa wanauza si maharage kweli, yale yalikuwa mavi ya mbuzi/kondoo ambayo yaligeuzwa kitoweo kimazingira. Miaka ile watu wengi wasiojitambua walikula sana na kuvimbiwa na wengine kufariki kwa kula kinyesi cha mbuzi.
Khe!!!
 
angalia pumbavu hili,maharage yako kila kona bongo we pumbavu,shilole anakuuzia mavi ya mbuzi?anauza maharage shilole,esha buheti,lamarfishkrab ni mavi ya mbuzi?we kukuz una mavi ya mbuzi mdomoni ulishanyewa na mbuzi fala ww ndo mana kila kitu kwako ni mbuzi mbuzi tu,utapigwa miti na mbuzi mda si mirefu

We kweli kweli ni mpumbavu…..hao uliowataja wanakujaje hapa? Wewe uliulizia wale wauza maharage wa pale Moro stendi ambao wanafahamika na kila mwana Moro wa lile eneo. Nimekuambia kuwa ulilishwa mavi ya mbuzi kimazingira na si wewe peke yako....mko wengi tu. Sasa unaambiwa ukweli unatahamaki kama zombie lililoachiliwa huru na kutaka kuua kila mtu kwa hasira. Wacha ujinga, kama huwezi kumeza ukweli bora ujiue tu.
 
hahahahahah pamoja mkuu kuna maharage yanawekwa vitunguu saumu nadhani ndo ulikutana nayo
Hapana yale yalikua spesho kabisa, nafkiri iliki na binzari vilihusika. Kuna mpuuzi humu anasema yalikua mavi ya mbuzi:Dhahahaa
 
miaka mingi sana iliyopita sina simu wala sanduku la barua,kuna kabinti nilikutana nako na kikawa nakachovya chovya,nafkiri kalikua katoto ka mpinzani mmoja che mponda kakiitwa mbesile.
basi bana enzi hizo hakuna mobile wala nini ni mwendo wa pio box,mi nimekolea mamaake mdogo akashtukia mchezo akakapiga transfer karudi kwao,tunakaa tmk miaka hiyo kota na mimi naokota tu kalikua kota ya jirani,
katika miadi ikawa usijali njoo moro unifate baba angu mshua utakula bata na bwalaalabwala.
mzee siku ya siku nikala islam huyooo mpaka moro,hamna simu hapo tumeongea kwa barua nafika stendi hola nikasubiri masaa kama matano hivi nimuone hola.

mwisho njaa ikaniuma nikaona nitafute msosi then nirudi tu dar na basi la mwisho.
bana pale stendi pembeni kulikua na kijihoteli fulani hivi cha waburushi nilikula wali nyama nikaletewa maharage kama kionjo to tu.
Yale maharage ndio yalionifanya nikaandika uzi huu,wale jamaa kama bado wapo wapeni salamu zangu,bado natafuta ile ladha ya maharage yao sijawahi pata yalikua matamu sana.
Mbesile mponda atakua ashakua kabibi sasa :D:D mi nadunda tu.
ha haaaa Haaa haaa " sasa kama mbesile amekuwa kabibi" hao wapishi wa hayo maharage" si watakuwa ni wafu tayari mkuu

" halafu wakati unamfuata morogoro " ulikuwa unadhani kuwa moro ni mtaa" maana enzi hizo za Pio box stand haikuwa pale msamvu aisee
 
Sasa mbona ulishalishwa mavi ya mbuzi kudhania ni maharagwe kama kweli una koo kongwe? Salama yako ni huko kuwa hai mpaka leo hii kutokana na kukingwa usiuliwe ila mavi ya mbuzi umekula kwa kudhania ni maharage. Hongera maana ulisema ni matamu hujawahi kula hapa duniani....mimavi hiyo, Ohoooo!
hahahaaa
 
Haikua msamvu, ilikua mjini kati pale
 
Sasa mbona ulishalishwa mavi ya mbuzi kudhania ni maharagwe kama kweli una koo kongwe? Salama yako ni huko kuwa hai mpaka leo hii kutokana na kukingwa usiuliwe ila mavi ya mbuzi umekula kwa kudhania ni maharage. Hongera maana ulisema ni matamu hujawahi kula hapa duniani....mimavi hiyo, Ohoooo!
angalia watu km hawa,huyu akiingia mjini akipewa maharage atasema sili ni mavi ya mbuzi,watu wa mikoani wapuuzi sana,akipewa wali atasema mavi ya ndege,akipewa ugali atasema mavi ya tembo akili yake mtu huyu imejaa mimavimavi tu hata burton za kompyuta ataita mavi ya ndezi
 
Back
Top Bottom