MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,836
- 881
Unajua unapokuwa mwanaume lazima utembee upishane na watu upishane na n'gombe, mbuzi na kadhalika.
Sasa katika matembezi yangu yalikuwa ya kupishana na magari, watu na watoto wazuri na wabaya wa kila aina.
Sikutilia maanani sana wala sikuwa na haja nao, ila kuna mmoja tulipishana akanivutia kavaa gauni jekundu kifuani saa sita zimechomoza kajifunga khanga kiunoni.
Nilibaki kumkodolea macho tu mpaka kanipita, nikashusha macho chini nikaona khanga imeandikwa "ukinipenda niite" si nikamwita akageuka.
Nikamsogelea nikaona tena kwa mbele khanga yake imeandikwa "kama unaweza nitongoze" mrembo khanga yako imenivutia ilivyo andikwa. akasema, wewe unaonaje? Mimi nimekupenda.
Aaah! Kama umenipenda uje kwetu ukanitolee mahari ni milioni 1 tu kama unayo, hivi sasa najiandaa kwenda kutoa mahari.
_ukipenda usiangalie gharama_