Binti mrembo na kijana matata ndani ya basi

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Hakika kwa wale wapendao siti za ubalozini wakati safiripo ni raha tupu, ukubali jaribu siku uone.
Jana niliwa safarini kuna na kaka alikua amekaa siti moja na binti mrembo bila shaka katokea Tanga. Jamaa alionekana kumtamani sana yule binti ila kwa bahati mbya jamaa alionekana kuwa ni mtu wa tungi sana.

Baada ya mwendo wa nusu saa jamaa uzalendo ukamshinda, na kwa sauti ya kimapenzi jamaa akamsalimu binti, binti habari, binti akajibu salama, jammaa alioona kakubalika akanza , dada unaelekea wapi, binti kwan nini? Kaka; just to know, binti alipoona usumbufu unaongezeka akahamia siti ya mbele kidogo, jamaa naye akaanza kumuongelesha akiwa nyuma. Binti akakurupuka "sitaki usumbufu wala huna Mvuto.Jamaa akavuta hisia na baada ya muda akamjibu" we binti mzuri unajamba kitu inanuka hifyo ahhaaa huku anashika pua' kweli gari yote ilikua kicheko kwa hata yule binti ilionekna kam kweli kwani muda huo huo ilisikika harufu kali ya mjambo fulani na madirisha kufunguliwa. Hii ilikua ni mbaya sana.

Mabraza acheni kudhalilisha mabinti bwana
 
Ila huwezi amini yule bint alichukua namba ya jamaatkwa madai kama yeye kidume ampe aone kama hata mtafuta ili amfanyizie.
Wakaanza kuchart mwishowe wakawa wapenzi.
 
Hakika kwa wale wapendao siti za ubalozini wakati safiripo ni raha tupu, ukubali jaribu siku uone.
Jana niliwa safarini kuna na kaka alikua amekaa siti moja na binti mrembo bila shaka katokea Tanga. Jamaa alionekana kumtamani sana yule binti ila kwa bahati mbya jamaa alionekana kuwa ni mtu wa tungi sana.

Baada ya mwendo wa nusu saa jamaa uzalendo ukamshinda, na kwa sauti ya kimapenzi jamaa akamsalimu binti, binti habari, binti akajibu salama, jammaa alioona kakubalika akanza , dada unaelekea wapi, binti kwan nini? Kaka; just to know, binti alipoona usumbufu unaongezeka akahamia siti ya mbele kidogo, jamaa naye akaanza kumuongelesha akiwa nyuma. Binti akakurupuka "sitaki usumbufu wala huna Mvuto.Jamaa akavuta hisia na baada ya muda akamjibu" we binti mzuri unajamba kitu inanuka hifyo ahhaaa huku anashika pua' kweli gari yote ilikua kicheko kwa hata yule binti ilionekna kam kweli kwani muda huo huo ilisikika harufu kali ya mjambo fulani na madirisha kufunguliwa. Hii ilikua ni mbaya sana.

Mabraza acheni kudhalilisha mabinti bwana
Bado sijapata mantiki yako
 
Back
Top Bottom