Binti mmoja katia doa ndoa yangu

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake (Mithali 6:33).
 
Bora unyamaze tu maan ukimwambia mkeo sawa na kujipalia mkaa hlf yale ulopew Kule mwelekeze mkeo akufanyie kwn ktk mpnz hkun aibu pia kuelekezana ni jambo la busara zaid but kuw makini kwa Huo mchepuko maana ndo ushanogew pia chovyachovy humaliza buyu la asali!
 
Braza ushaharibu, muombe Mungu akuepushe name huyo ibirisi, si wewe Bali shetani ndiye atawalaye fikra zako
Mithali 16:25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.

Mithali 17:4
Mtenda mabaya husikiliza midomo ya uovu; Na mwongo hutega sikio lake kusikiliza ulimi wa madhara,

Mrudie Mungu na umuombe akuepushe na tamaa ya mwili maana mwisho wake ni mauti, tubu na uachane na huyo Dada, wewe na mkeo ni mwili mmoja
 
Jiulize mnapewa huo utamu wangapi kodi inakaribia kuisha kaa mkao wa mamilion kadhaa
 

Jiulize mnapewa huo utamu wangapi kodi inakaribia kuisha kaa mkao wa mamilion kadhaa

Unaibiwa tu ndugu, walichosema hao hapo juu ndio kinacho endelea hapo

Yani mtu ni accountant wa micro finance halafu ana miliki Gari mbili, anaishi mikocheni na nyumba inalindwa na kampuni ya ulinzi!! Kwa mshahara upi?!!! Hapo kuna mtu mwenye mihela yake ana hudumia Kwahiyo jipange
 
umeongea ukweli aisee
 
Endelea kupiga mashine na wala usimwambie mke wako.
 
Ushauri pekee ninaokupa ni kubadilisha heading ya uzi wako.. Napendekeza uandike udhaifu wangu na tamaa ya mwili unahatarisha ndoa yangu.. Sio binti wa kibondei anaeitia doa ndoa yako.. Ni wewe mwenyewe na tamaa za mwili.. Hujashikiwa panga wala bunduki kwenda huko..
 
Wasio na ndoa utawajua tu kwa thread zao

Anyway ....

Binyi ana harrier na lexus

Kapanga nyumba nzima maikocheni

Ana mlinzi wa kk security
 
Yaani wewe ni mwizi aliyeiba na hujakamatwa, hutafutwi na hujulikani lakini cha shangaza unaenda polisi kujisalimisha kwamba wewe ni mwizi je unafikiri itakuaje?
 

Wa Kishua unazinguaa
 


Mkuu ulitumia kinga? naomba kujua hilo kwanza.
 
Kwanza pole sana na pili hongera sana kwa kufaidi utamu for time being..! Potezea tuu usimwambie ishi maisha ya kutopenda kufanya nae open relation uwe unakula kuku kwa mrija i mean silently silently

Kama siyo tabia yake ya kuchepuka aachena naye mara moja...maana hamna siri chini ya jua....siku akimtegeshea ujauzito itakuwa shida zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…